Fans254

@MrBruce

Reel by MRBRUCE

"Wewe Sifuna, hiyo kiherehere yako yenye haina maana utawacha, hakuna maendeleo yoyote umefanyia watu wako na sahi unajifanya hapo" Fearless former West Pokot Governor John Lonyangapuo locks horns with Sifuana's Linda mwanchi movement.