Fans254

@MrBruce

Reel by MRBRUCE

John Methu: Wewe William Ruto. Kwa sababu kila siku nikienda kwa mkutano wewe unanirushia tear gas. Leo niko nyumbani, kama wewe ni mwanamume, rusha leo. Kama wewe ni mwanamume, ndio huyu mimi, ndio hawa watu wa nyumbani, rusha leo. Mtu muoga kabisa, nilikuambia nakuheshimu lakini sikuogopi