Fans254

@MrBruce

Reel by MRBRUCE

President Ruto: Msikubali kupelekwa pahali kwa karata ya pata potea. Tusiende kule, tutapotea. Haiwezekani umekuwa Kenya hii ukirandaranda kwa miaka 40 bila kufanya chochote, halafu unasema tukupe uongozi.